FAIDA ZA KIAFYA ZA KITUNGUU MAJI.....
Zifuatazo ni faida za kiafya za kitunguu maji.
1. Juisi ya Kitunguu Huua vijidudu vya kifua kikuu.
Tafiti mbalimbali za kisayansi zimethibitisha kuwa juisi ya kitunguu ina
uwezo wa kuua vijidudu vinavyo sababisha maradhi ya kifua-kikuu (Huua
baada tu ya mgonjwa kunusa moshi wake)
2. Kitunguu maji huongeza hamu ya kula.
Kitunguu maji kikifanyiwa kuwa achari, ukali wake hupungua huongeza mno hamu ya kula.
3. Huupa mwili nishati na nguvu
Kitunguu maji kikiliwa kikiwa kimechomwa, huongeza nguvu na nishati mwilini na huimarisha misuli ya mwili.
4. Huufanya uso kunawiri
5. Kitunguu maji huongeza hamu ya kula
6. Kitunguu husaidia kulainisha tumbo
7. Kitunguu husaidia kutibu tatizo la kukosa haja kubwa
8. Kitunguu maji kikipikwa na kuliwa pamoja na samli , husaidia kuongeza nguvu za kiume pamoja na kuboresha nguvu za kiume.
9. Kitunguu kikitengenezwa supu pamoja na nyama, huongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake.
10. Kitunguu maji husaidia kutibu homa ya manjano.
11. Kitunguu maji husaidia kuvunja vijiwe tumboni
12. Kitunguu maji hutumika kutibu tatizo la kukosa hedhi kwa wanawake
13. Kitunguu maji kina utajiri wa Vitamini C ambayo husaidia kuzuia
kukua kwa bacteria kwenye jeraha na kuongeza nishati kwenye mbegu za
kiume.
14. Kitunguu maji kina madini ya salfa,chuma na vitamin ambayo husaidia kutia nguvu kwenye mishipa
15. Kitunguu maji husaidia kuwatibu wagonjwa wa kisukari.
16. Kitunguu maji husaidia kutibu maradhi ya moyo pamoja na kuimarisha mfumo wa mzunguko wa damu mwilini.
17. Kitunguu maji kimethibitika kuwa vijiuasumu vyenye nguvu zaidi
kuliko penesilini (penicillin) kwa hivyo hupoza kifua kikuu, kaswende
(syphillis) na kisonono (gonorrhea), pamoja na kuua vijidudu vingi vya
hatari.
18. Hutibu tatizo la Pumu:
Kitunguu maji kikitumika pamoja na asali, husaidia kutibu tatizo la pumu.
19. Husaidia kutibu tatizo la Uvimbe wa pafu (Pneumonia )
18. Kituu maji husaidia kutibu tatizo la Saratani za aina mbalimbali.(Cancer):
20. Kitunguu maji husaidia kutibu vidonda ndugu.
21. Kitunguu maji husaidia kutibu tatizo la mvilio wa damu
22. Kitunguu maji husaidia kutibu majipu
23. Husaidia kutibu tatizo la Chunusi
24. Husaidia kuondoa tatizo la Ukurutu (Eczema) kwenye ngozi.
25. Husaidia kutibu Saratani ya ngozi.
26. Husaidia kutibu matatizo ya figo.
27. Husaidia kutibu tatizo la Kikohozi kwa wakubwa na wadogo
28. Husaidia kutibu maradhi ya macho na Kikohozi
29. Husaidia kupunguza uzito wa mwili
SOURCE: MZIZI MKAVU BLOG
No comments:
Post a Comment