RAIS MAGUFULI AKUTANA NA DK. SHEIN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM - KATUMA BLOG tz.

HABARI ZA HIVI PUNDE

KWA HABARI ZA UHAKIKA NA KUAMINIKA


Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, December 26, 2015

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA DK. SHEIN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimlaki Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein  Ikulu jijini Dar es Salaam leo Desemba 26, 2015

Rais Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika mazungumzo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein  Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 26, 2015

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimsindikiza  Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein baada ya mazungumzo  Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 26, 2015 (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here