.AJALI NYINGINE YATOKEA JIJINI MBEYA LEO ASUBUHI,YAHUSISHA BASI LA HOOD NA BESTLINE NA LORI,HAKUNA ALIYEPOTEZA MAISHA - KATUMA BLOG tz.

HABARI ZA HIVI PUNDE

KWA HABARI ZA UHAKIKA NA KUAMINIKA


Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, December 19, 2015

.AJALI NYINGINE YATOKEA JIJINI MBEYA LEO ASUBUHI,YAHUSISHA BASI LA HOOD NA BESTLINE NA LORI,HAKUNA ALIYEPOTEZA MAISHA




 Magari matatu yamepata ajali mkoani Mbeya asubuhi ya leo iliyohusisha mabasi ya Hood ya Mbeya na Arusha na basi la Bestline linalofanya safari zake Mbeya na Mwanza pamoja na lori eneo la Inyala Mbeya
Katika ajali hiyo mtu mmoja amejeruhiwa vibaya na wengine kupata majeraha madogo madogo.
Kamanda wa polis Mkoani mbeya ACP AHMED MSANGI amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here