Kwa mara ya kwanza Tanzania imeandika historia mpya ya kuwa na Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke.
Mama Samia Hassan Suluhu amekuwa Makamu wa Rais Mteule baada ya Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli kupitishwa kuwa Rais Mteule wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Awamu ya Tano.
No comments:
Post a Comment