WATU WENGI WAJITOKEZA VIWANJA VYA NANE NANE LINDI KUJIUNGA NA NSSF - KATUMA BLOG tz.

HABARI ZA HIVI PUNDE

KWA HABARI ZA UHAKIKA NA KUAMINIKA


Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, August 7, 2015

WATU WENGI WAJITOKEZA VIWANJA VYA NANE NANE LINDI KUJIUNGA NA NSSF


 Meneja Kiongozi wa Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume akiwaelezea faidaza kujiunga na mfuko huo wakazi wa Mkoa wa Lindi waliofika kwenye banda la NSSF kwenye maonesho ya Nanenane yanayofanyika kitaifa mkoani humo.
 Meneja Kiongozi wa Masoko Na Uhusiano Eunice Chiume akiwapa Maelezo ya Faida za kuwa Mwanachama wa NSSF wanachama waliotembelea banda la NSSF mkoani Lindi.
 Mwanachama wa Hiari, Mrisho Mpoto akilipia michango yake kwenye maonesho ya Nanenane Mkoani Lindi.
Afisa Uendeshaji
Muandamizi Kabona Kandoro akimkabidhi zawadi mmoja wa wanachama waliotembelea
banda la NSSF kwenye maonesho ya nanenane mkoani Lindi.
Mwanachama mpya wa NSSF akipigwa picha kwa ajili ya kadi ya uanachama baada ya kujiunga na mfuko huo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here