Balozi wa China nchini Tanzania, Dk.Lu
Youqing (katikati), akihutubia wakati akizindua kampeni ya kupambana na
ujangili viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam leo asubuhi. Kampeni
hiyo imeanzishwa na watu wa China kwa ajili ya kuunga jitihada za
watanzania katika mapambano hayo ya kuwalinda wanyama dhidi ya ujangili
hasa tembo.
Balozi wa China nchini Tanzania, Dk.Lu
Youqing akionyesha umahiri wa kuchezea mpira katika uzinduzi huo kabla
ya kutoa zawadi ya mipira kwa baadhi ya shule za Manispaa ya Kinondoni.
Wanafunzi wakiwa na vipeperushi vya bendera ya nchi ya china wakati wa uzinduzi huo.
Wasanii wa kundi la makhirikhiri wakitoa burudani katika
Wanafunzi wakiwa kwenye uzinduzi huo.
Wimbo wa taifa ukiimbwa.
Wanahabari wakichukua taarifa za uzinduzi huo.
Wanafunzi ndani ya uzinduzi huo.
No comments:
Post a Comment