Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Stanbic Tanzania Ken Cockerill akiongea na wanahabari kuhusiana na benki hiyo ilivyofanikisha Benki ya PTA kuwekeza amana zenye thamani ya shilingi 32.6bn kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam ambazo zitasaidia kuboresha miundo mbinu ya umeme nchini kupitia Shirika la Umeme nchini (TANESCO).mkutano huo umefanyika leo jijini Dar es Salaam.
Post Top Ad
Responsive Ads Here
Friday, August 21, 2015
Home
Unlabelled
STANBIC TANZANIA YAISAIDIA PTA KUWEKEZA BILIONI 32 SOKO LA HISA DSM
STANBIC TANZANIA YAISAIDIA PTA KUWEKEZA BILIONI 32 SOKO LA HISA DSM
About Unknown
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Responsive Ads Here
No comments:
Post a Comment