Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akimtambulisha Mhe Samia Suluhu Hassan, Mgombea mwenza wa
ugombea Urais kwa tiketi ya Chama hicho tawala Dkt John Pombe Magufuli
leo Agosti 19, 2015 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es
salaam
PICHA NA IKULU
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM tawala Dkt John Pombe Magufuli akiongea na wazee wa Dar es salaam
leo Agosti 19, 2015 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam
Meza Kuu ikimfurahia Mgombea
Urais kwa tiketi ya CCM tawala Dkt John Pombe Magufuli akiongea na
wazee wa Dar es salaam leo Agosti 19, 2015 katika ukumbi wa Diamond
Jubilee jijini Dar es salaam
Mwenyekiti wa Wazee wa CCM wa
Dar es salaam akipeana mikono na Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM tawala
Dkt John Pombe Magufuli baada ya kuongea na wazee wa Dar es salaam leo
Agosti 19, 2015 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam
No comments:
Post a Comment