Rais Jakaya Kikwete ameandika Historia
yake nzuri kwenye kipindi cha Uongozi wake TZ, mara nyingi amekuwa
karibu na wasanii wa TZ pamoja na wanamichezo pia.
Amebakiza kama miezi mitatu hivi
kumaliza muda wake wa Uongozi, team ya millardayo.com iko ndani ya
Mlimani City ambapo Rais JK amealikwa na Muungano wa Wasanii Tanzania,
imeandaliwa hafla maalum ya kumuaga Rais pamoja na kumpongeza Mgombea
Urais aliyeteuliwa na CCM, Dk. John Pombe Magufuli.
Kila kinachoendelea ndani kinanaswa na
unasogezewa papo hapo, hizi ni pichaz za kwanza kwanza kabisa mtu wangu
toka ndani ya Mlimani City!!
PICHA kwa hisani ya team ya Millardayo,com
No comments:
Post a Comment