Mlezi
wa vilabu vya UN vya Elimu ya juu Zanzibar Dkt. Mohd Makame Haji akiwakaribisha
wageni walikwa katika Mkutano wa kuadhimisha siku ya vijana Duniani uliofanyika
huko Chuo Kikuu cha Zanzibar Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja.
Mwenyekiti
wa vilabu vya UN vya Elimu ya juu Zanzibar Ali Kombo Hassan akisoma risala ya
vijana wa vilabu UN katika Mkutano uliofanyika Chuo Kikuu cha Zanzibar Tunguu
Mkoa wa Kusini Unguja
Mjumbe wa vilabu vya UN vya Elimu ya juu Khadija Salum Khamis akitoa hutuba
yake kuhusu madhara yanayopatikana kutokana na vurugu za uchauzi, katika Mkutano
wa kuadhimisha siku ya vijana Duniani.
Afisa
elimu ya wapiga kura kutoka Tume ya Uchaguzi Zanzibar Juma Sanifu Sheha akitoa
mada juu ya ushiriki wa vinaja katika
uchaguzi wa Amani katika Mkutano wa kuadhimisha siku ya vijana Duniani
uliofanyika huko Chuo Kikuu cha Zanzibar Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja.
Baadhi
ya Vijana wa vilabu vya UN vya Elimu ya juu wakimskiliza kwa makini mtoa mada Juma
Sanifu kutoka Tume ya Uchaguzi (hayupo pichani) wakati akiwasilisha.
Afisa
programu ya maendeo ya Vijana mfuko wa idadi ya watu wa Umoja wa Mataifa ofisi
ya Zanzibar Aoife Spengeman akitoa shukrani kwa vijana mara baada ya kumaliza
kwa Mkutano huo (kushoto) Mratibu wa vilabu vya UN Zanzibar Maalim Ame Haji
Vuai. Picha na Makame Mshenga Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment