Wafanyakazi wa Kampuni ya
Tan Communication Media inayomiliki kituo cha Redio 5 chenye makao yake
makuu jijini Arusha,wakiwa katika banda lao la matangazo katika viwanja
vya nane nane Themi njiro jijini Arusha (Habari Picha na Pamela Mollel
wa jamiiblog)
Mtangazaji maarufu ndani na nje
ya Arusha Semio Sonyo wa kituo cha Redio 5 akirusha matangazo moja kwa
moja katika maonyesho ya nane nane,kushoto Meneja masoko wa kampuni
ya Tan Communication Media inayomiliki kituo cha Redio 5 chenye makao
yake makuu jijini Arusha, Bi.Sarah Keiya
Taswira katika banda la kituo
cha Redio 5 wakirusha matangazo yao moja kwa moja katika maonyesho ya
nane nane Themi njiro jijini Arusha
Meneja masoko wa ampuni ya Tan Communication Media inayomiliki kituo cha Redio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha, Bi.Sarah Keiya
amesema kuwa kila wanaposhiriki maonyesho ya nane nane kila mwaka
kipaumbele cha kwanza ni kuhakikisha wanawafikia wakulima,wafugaji na
wafanyabiashara katika maonyesho hayo ya nane nane
Pia alisema kwa mwaka
huu kutakuwa na mashindano ya kila aina ikiwemo la shindano la
kuimba,kurup,kula na kunywa,vipaji vya danadana huku akiweka wazi kuwa
zawadi zipo kwa washindi wa shindano hilo
No comments:
Post a Comment