(Picha zote na Bashir Nkoromo).
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya
Kikwete (kushoto) akiendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM,
leo Agosti 13, 2015, katika ukumbi uliopo Jengo la White House, Makao
Makuu ya CCM mjini Dodoma, kupitisha majina ya walioomba kugombea ubunge
kwa tiketi ya CCM katika majimbo mbalimbali. Kulia kwake ni Makamu
Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,
Dk. Ali Mohammed Shein akiendesha kikao Cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya
CCM (NEC), leo Agosti 13, 2015, wakati Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya
Kikwete apilokuwa hajawasili umbini. Pamoja naye ni Makamu Mwenyekiti wa
CCM Bara Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
Wajumbe wa NEC, Katibu wa NEC,
Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, Katibu Mkuu wa UWT Amina Makilagi na
Mwenyekiti wa Jumuia hiyo, Khadija Simba, wakijadili jambo kabla ya
kikao cha NEC, kuanza leo katika ukumbi uliopo Jengo la White House,
Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia),
Mgombea Urais mteule kwa tiketi ya CCM, John Magufuli na Naibu Katibu
Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai, wakifuatilia mambo mbalimbali,
wakati Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiendesha kikao cha
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, leo Agosti 13, 2015, katika ukumbi
uliopo Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini
Dodoma, kupitisha majina ya walioomba kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika majimbo mbalimbali.
Wakuu wa vyombo vya habari vya
CCM, Angel Akilimali (Uhuru FM) na Ramadhani Mkoma Uhuru Publications
Ltd), akiwa ukumbini wakati kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM
kikiendelea katika Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM, mjini
Dodoma leo Agosti 13,2015.
Wajumbe wakiperuzi makabrasha,
wakati Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiendesha kikao cha
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, leo Agosti 13, 2015, katika ukumbi
uliopo Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kupitisha
majina ya walioomba kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika majimbo
mbalimbali.
Wajumbe wakimsikiliza Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete wakati akiendesha kikao cha Halmashauri Kuu
ya Taifa ya CCM, leo Agosti 13, 2015, katika ukumbi uliopo Jengo la
White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kupitisha majina ya
walioomba kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika majimbo mbalimbali.

No comments:
Post a Comment