HIVI NDIVYO WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDRECK SUMAYE ALIVYOONDOKA CCM NA KUJIUNGA NA CHADEMA - KATUMA BLOG tz.

HABARI ZA HIVI PUNDE

KWA HABARI ZA UHAKIKA NA KUAMINIKA


Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, August 23, 2015

HIVI NDIVYO WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDRECK SUMAYE ALIVYOONDOKA CCM NA KUJIUNGA NA CHADEMA

 Waziri Mkuu mstaafu, Fredreck Sumaye (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akitangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), leo mchana.
 Waziri Mkuu mstaafu, Fredreck Sumaye (kulia), akipeana mkono na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe Dar es Salaam leo mchana, baada ya kujiunga na chama hicho. Anayeshuhudia katikati ni Mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.
 Sumaye akisisitiza jambo
Sumaye (wa tatu kulia), akiwa na viongozi wanaunda Umoja wa Katiba (UKAWA) baada ya kuondoka CCM na kujiunga na Chadema.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here