Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,
Dkt. Seif Rashid akitoa hotuba yake juzi usiku wakati wa hafla ya
kuchangisha fedha kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa tezi dume
iliyofanhyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dares Salaam.
Picha zote na Magreth Kinabo- Maelezo
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es
Salaam Dkt. Grace Magembe – Mugisha akiwakilisha mchango wa Sh. milioni
10,800,000/=ambazo ni mchango wa hospitali za mkoa huo pamoja na
halimashauri tatu kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa tezi dume.
Meneja wa Utafiti kutoka Benki Kuu
ya Tanzania, Johnson Nyella akiwakilisha mchango wa Sh. milioni 10
ambazo ni mchango wa hospitali za mkoa huo pamoja na halimashauri tatu
kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa tezi dume.
Katibu Mtendaji wa Taasisi ya
Wanawake na Maendeleo (WAMA), Daudi Nassib akiwakilisha mchango wa Sh.
milioni tano ambazo ni mchango wa hospitali za mkoa huo pamoja na
halimashauri tatu kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa tezi dume.
Baadhi wa wadau wakiwa katika hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa tezi dume.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid akitangaza kiwango cha fedha kilichopatikana.
Picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment