CCM,UKAWA,ACT,ADC,UPDP,CHAUMA,WALIVYOPIGANA VIKUMBO KURUDISHA FOMU NEC - KATUMA BLOG tz.

HABARI ZA HIVI PUNDE

KWA HABARI ZA UHAKIKA NA KUAMINIKA


Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, August 21, 2015

CCM,UKAWA,ACT,ADC,UPDP,CHAUMA,WALIVYOPIGANA VIKUMBO KURUDISHA FOMU NEC


Mgombea wa urais kwa tiketi ya chama cha Democrasia na maendeleo chadema ndugu EDWARD LOWASA akizungumza na wanahabari mapema leo mara baada ya kurejesha Form na kiuwa mgombea rasmi wa uUais
 
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi ndugu John Pombe Magufuli amerudisha fomu ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) muda huu.
 



Mgombea wa urais kwa tiketi ya chama cha ADC CHIEF YEMBA akiwa na yeye amerejesha form hapa tume ya taifa ya uchaguzi
Kutoka ACT ni mwenyekiti wake ANNA MGWIRA akiwa anaondoka makao makuu ya NEC mara baada ya kurejesha form yake
Hashimu Rungwe mgombea urais wa tiketi ya chama cha umma CHAUMA akiwa anawasili kurejesha form kwa ajili ya kugombea Urais
   
Kutoka UPDP ni FAHMI DOVUTWA mwenyekiti akiwasili NEC



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here