Mbunge Aliko Kibona pamoja na Meneja wa TTCL wakikabidhiana mifuko ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za walimu.
Makamu
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Luswisi, Mseven Ndangalaakielezea furaha
yake baada ya kupokea msaada wa saruji na mbao kutoka TTCL.
Watumishi
wa TTCL Mbeya wakijadiliana jambo kabla ya kuanza makabidhiano ya
msaada wa saruji na mbao katika shule ya sekondari Luswisi.
No comments:
Post a Comment