Picha za awali Lowasa anachukua form hapa chadema
Maandalizi
yanaendelea vizuri naona mitaa yote ya Bongo DSM naona barabara zote
maelufu kwa maelufu ya watanzania wanazidi kujitokeza kumlaki na
kumpungia mkono wa baraka na heri kamanda mpya Eddo Lowasa.
Katibu Mkuu wa CDM ndugu Slaa anatarajia kumkabidhi fomu ya kuomba ridhaa ya wanachadema.
No comments:
Post a Comment