WATU 2,907,142 wanatarajiwa kuandikishwa katika Daftari
la Kudumu la Wapiga Kura kwa mfumo wa elektroniki (BVR), Dar es Salaam, kuanzia
kesho.
Wilaya ya Kinondoni inatarajia kuandikisha watu milioni 1.2, Ilala 811,000 na Temeke 8,907,142.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisi kwake, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki alisema, halmashauri zote zimeshafanya maandalizi yatakayo wezesha uandikishaji huo, hivyo wakazi wote wa jiji hilo wajitokeze kujiandikisha na sio kusubiri siku ya mwisho.
No comments:
Post a Comment