Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema
akizungumza katika uchaguzi wa kumpata Mbunge pamoja na Mbunge viti
maalum kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA)jijini Arusha
ambapo aliibuka kidedea kwa kura 255 sawa na asilimia 93.06%
(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)
No comments:
Post a Comment