BAADHI YA MATOKEO YA KURA ZA MAONI YA UBUNGE CHADEMA - KATUMA BLOG tz.

HABARI ZA HIVI PUNDE

KWA HABARI ZA UHAKIKA NA KUAMINIKA


Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, July 21, 2015

BAADHI YA MATOKEO YA KURA ZA MAONI YA UBUNGE CHADEMA



Yafuatayo ni matokeo rasmi ya kura za maoni kwenye majimbo kama yanavyofanyika.

Tutaendelea kuwaletea matokeo kila siku kadiri tutakavyokuwa tunayapata.
 

1. Matokea ya kura za maoni nafasi ya Ubunge Jimbo la Ukonga, uteuzi wa awali ni kama ifuatavyo;
 
Nixon Tugara 59
 
Asia Msangi Daudi 05
 
Benson Ntiruseswa 00
 
Deogratias Munishi 08
 
Deogratias Kalinga 00
 
Deogratias Mramba 05
 
Elly A. Dallas 15
 
Gasto G. Makwetta 01
 
Jamse D. Nyakisagane 00
 
Kalanga J Simbano 00
 
Lucas M. Otieno 06
 
Mwanaidi Ramadhani 00
 
Waitara M Mwikwabe 49
 
2. Matokeo ya kura za maoni Jimbo Mlalo mkoa wa Tanga
kama ifatavyo
 
Kelvin Shemboko 56
 
Lewis E. Kopwe 31
 
Jumanne M. Pazia 15
 
Mkazeni Y. Mkazeni 00

2. Matokeo ya kura za maoni Jimbo la Babati Mjini mkoa wa Manyara
 
Pauline Gekul 88
 
Gabriel Kimolo 14

3. Matokeo ya Kura za maoni nafasi ya Ubunge Jimbo la Rombo
 
Joseph Selasini 313
 
Masika Fratern 56
 
Hugho Kimario 01
 
Bernard Saanane 26
 
Dominick Tarimo 01
4. Matokea ya kura za maoni nafasi ya Ubunge Jimbo la Same Magharibi, uteuzi wa awali ni kama ifuatavyo;
 
Jonas Just Kadeghe 98
 
Christopher Shangwe Mbago 49
 
Gervas Eliemasha Mgonja 30
 
Elisifa Mbago Godson 15
 
Erick Charle Kazoka 02
 
Eric Joel Mhina 00

6. Matokeo ya kura za maoni Jimbo la Msalala
 
Paulo Malaika Ndundi 113
 
Peter Frank Machanga 49
 
Ezekiel Joseph Kazimoto 48
 
Emmanuel Godson Mbise 43
 
Francis Mpejiwa Makune 15
 
Vincent Manoni Mhagwa 10
 
Richard James Mabilika 01
 
Stephen Maige Bundala 00

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here