Hatua
ya Robo Fainali ya michuano ya Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati
(Kagame Cup 2015) inatarajiwa kuendelea kesho Jumatano kwa michezo
miwili kuchezwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, huku macho
na masikio yakiwa kwenye mchezo kati ya Azam FC dhidi ya Yanga SC.
Mechi
hiyo ya pili inatarajiwa kuanza saa 10:15 jioni inatarajiwa kuwa ya
vuta nikuvute kufuatia timu hizo mbili zinatotokea jijini Dar es salaam
kuwa na upinzani mkali kuanzia katika Ligi Kuu a Vodacom Tanzania na
michuano mingine.
No comments:
Post a Comment