ANSWAR-SUNNI WASWALI SALA YA IDD KATIKA VIWANJA VYA JANGWANI LEO - KATUMA BLOG tz.

HABARI ZA HIVI PUNDE

KWA HABARI ZA UHAKIKA NA KUAMINIKA


Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, July 17, 2015

ANSWAR-SUNNI WASWALI SALA YA IDD KATIKA VIWANJA VYA JANGWANI LEO

 Amiri wa Jumuiya ya Answari Suna Tanzania, Shekh. Juma Omari Poli (kulia), akiswalisha Swala ya Iddi katika viwanja hivyo.
 Shekh Hamid Abdallah, akitoa mawaidha wakati wa ibada ya Swala ya Idi katika Viwanja vya Jangwani Dar es Salaam leo.

Waumini wa dini ya kiislam wakiwa kwenye ibada hiyo.
 Waumini wa madhehebu ya Anwar-Suni wakiswali katika viwanja hivyo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here