![]() |
Watu
13 wanaodaiwa kuwa ahalifu wameuawa na Askari wa Jeshi la Polisi. Watu
hao wamekutwa na Bunduki nane, Pikipiki mbili pamoja na Begi moja la
nguo. Tukio hilo limetokea katika maeneo ya Tangibovu Kijiji cha Milaweni, huko Kibiti Mkoani Pwani. |

KWA HABARI ZA UHAKIKA NA KUAMINIKA
No comments:
Post a Comment