ADAKWA KWA TUHUMA ZA KUGHUSHI NYARAKA ZA SERIKALI ILI KUTAPELI IDARA YA HABARI - KATUMA BLOG tz.

HABARI ZA HIVI PUNDE

KWA HABARI ZA UHAKIKA NA KUAMINIKA


Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, January 10, 2017

ADAKWA KWA TUHUMA ZA KUGHUSHI NYARAKA ZA SERIKALI ILI KUTAPELI IDARA YA HABARI

Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Dkt. Hassan Abbas akizungumza na waandishi wa habari mara baada kukamatwa kwa watu wanaodaiwa kutaka kusajili gazeti kwa nyaraka za kughushi leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Kaimu Msajili wa Idara ya Habari Maelezo, Patrick Chipangula na Afisa Habari wa Idara ya Habari MAELEZO, Lilian Lundo. 

 
Watuhumiwa waliotaka kusajili gazeti kwa nyaraka za kugushi wakiwa chini ya ulinzi leo jijini Dar es Salaam.

 
Watuhumiwa waliotaka kusajili gazeti kwa nyaraka za kugushi wakiwa chini ya ulinzi leo jijini Dar es Salaam, tayari kuelekea kituo cha polisi kati. (Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here