WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA SWALA YA IDD EL HAJI VIWANJA VYA MWEMBE YANGA TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM - KATUMA BLOG tz.

HABARI ZA HIVI PUNDE

KWA HABARI ZA UHAKIKA NA KUAMINIKA


Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, September 12, 2016

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA SWALA YA IDD EL HAJI VIWANJA VYA MWEMBE YANGA TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa hutuba katika swala ya Idd El Haji iliyofanyika Viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam leo asubuhi.
 Swala ikiendelea.

Waziri Mkuu alivyojumuika na waislam wenzake katika swala hiyo.
 Sheikh Abdul Kadri akiongoza swala ya Idd El Haji 
 Sheikh Nurdin Kishki akihutubia baada ya swala hiyo.
 Waumini wa dini ya kiislam wakishiriki swala hiyo.


Waumini wa dini ya kiislam wakiswali.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here