Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,John Pombe Magufuli (kushoto)
akifungua Mkutano wa 17 wa Viongozi wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki
(EAC)katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam leo jioni,[Picha na
Ikulu.]
Baadhi
ya warishiki katika mkutano wa 17 wa Viongozi wa Jumuiya ya Afrika ya
Mashariki (EAC) wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe,John Pombe Magufuli (hayupo pichani) alipokuwa akiugungua mkutano
huo leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam,[Picha na Ikulu.]

wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto ) akizungumza kutoa salamu zake katika mkutano wa 17 wa
Jumuiya ya Afrika ya Mashariki EAC uliofanyika leo Ikulu ya Dar es
Salaam,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,John Pombe Magufuli leo kabla ya
kuanza kwa kikao cha 17 cha Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC)
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam leo jioni,[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment