Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akihutubia wakati wa
kufungua mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF Cup - 2016) kwenye
uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa Mafunzo na Utendaji Kivita Meja Jenerali Issa Nassor akihutubia wanamichezo
wa kijeshi kwenye sherehe za ufunguzi wa mashindano ya tatu ya kombe la
Mkuu wa Majeshi (CDF Cup - 2016) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi
wa Mnadhimu Mkuu wa Majeshi Meja jenerali Simoni Mumwi akihutubia wakati wa
ufunguzi wa mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF Cup -
2016) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia picha
yake aliopewa na kikundi cha sanaa wakati wa kufungua mashindano ya
tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF Cup -
2016) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipiga penati ikiwa
ishara ya kufungua mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF Cup -
2016) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiwatakia heri timu ya
Tembo kutoka Ruvuma na Kombaini ya Vikosi vya JKT kabla ya kuanza mechi yao
kwenye mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF Cup - 2016) kwenye
uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiwa kwenye picha ya
pamoja na wachezaji wa timu ya Tembo pamoja na Kombaini ya JKT mara baada ya
kufungua mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF Cup - 2016) kwenye
uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na Mwakilishi
wa MnadhimuMkuu wa Majeshi Meja Jenerali Simoni Mumwi mara baada ya kufungua
mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF Cup - 2016) kwenye uwanja
wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment