JK AWAFUNDA VIJANA WA CCM VYUO VIKUU JIJINI DAR ES SALAAM LEO JIONI - KATUMA BLOG tz.

HABARI ZA HIVI PUNDE

KWA HABARI ZA UHAKIKA NA KUAMINIKA


Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, May 30, 2016

JK AWAFUNDA VIJANA WA CCM VYUO VIKUU JIJINI DAR ES SALAAM LEO JIONI

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete akihutubia katika mahafali ya 2016 ya Shirikisho la wanafunzi wa vyuo vikuu wa CCM yaliyofanyika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam leo jioni.
 Vijana vyuo vikuu Dar es Salaam wakiserebuka katika mahafali yao.
 Hapa ni furaha kwa kwenda mbele.
Ni kama wanasema'  Hapa ni ushindi tu 2020 kwani vijana tumejipanga.
Vijana wakiwa kwenye mahafali hayo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here