SPIKA
wa bunge,Anna Makinda amesema amekuwa mbunge kwa miaka 40 hivyo ameamua
kuwaachia wengine na kuwaonya wanawake wanaogombea nafasi mbalimbali kwenye
uchaguzi mkuu ujao kutolia au kulalamika jukwaani kwani ni udhaifu mkubwa.
Hivyo
amewaeleza kuwa hata wanapokumbana na changamoto mbalimbali katika majukwaani
wapambane na kulia usiku lakini wanakuwa ameonyesha kuwa wanawake wnaweza.
Makinda
alisema hayo katika wakazi akifungua maadhimisho ya siku ya Mwanamke
Afrika yaliyoandaliwa na Shirika la Wnaawake katika Sheria na Maendeleo Afrika
(WiLDAF) na kusema ifikapo mwezi oktoba atakuwa amefikia miaka 40.
No comments:
Post a Comment