Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akiweka saini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Marehemu John
Edward Mchechu ambaye ni baba wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la
Taifa(NHC) Bwana Nehemia Mchechu. Rais Kikwete alikwenda nyumbani kwa
Mkurugenzi huyo Mbezi Beach jana kumpa pole kufuatia kifo cha Baba yake
aliyekuwa anaugua ugonjwa wa kiharusi.Kulia aliyesimama ni Mtoto wa
Marehemu Bwana Nehemia Mchechu.
Dkt.Jakaya Mrisho kikwete
akiifariji familia ya marehemu John Edward Mchechu Mbezi beach Dar es
Salaam jana jioni.aliyeketi wapili kushoto ni mtoto wa Marehemu ambaye
ni Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bwana Nehemia Mchechu.
(picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment