Hii si ramani wala picha ya nyumba bali ni Jeneza la aliyekuwa mchekeshaji maarufu wa kikundi cha vichekecho cha Vitimbi la nchini Kenya, Mzee Ojwang, hapa ni siku ambayo mwili wake ulikuwa ukiagwa. Mzee Ojwang alifariki dunia hivi majuzi Hospitali ya Jomo Kenyatta alipokuwa amelazwa. Mzee Ojwang aliwahi kutamba Afrika Mashariki pamoja na waigazaji wenzake, Mwala na Mama Kayayii.
![]() |
| Mzee Ojwang enzi za uhai wake |

No comments:
Post a Comment