RAHEEM STERLING KUTIMKIA MAN U ? - KATUMA BLOG tz.

HABARI ZA HIVI PUNDE

KWA HABARI ZA UHAKIKA NA KUAMINIKA


Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, June 5, 2015

RAHEEM STERLING KUTIMKIA MAN U ?

MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Liverpool Raheem Sterling huenda akatimkia katika klabu ya Manchester United , hata hivyo mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20 ana wasiwasi kuhusu athari za uhamisho huo hususan kutokana na ushindani mkali uliopo kati ya klabu hizo mbili.
Hata hivyo Liverpool imesema kuwa haiko tayari kufanya biashara na wapinzani wao wakuu kutoka Kaskazini Magharibi.
Mkufunzi wa kilabu ya Manchester United Luois Van Gaal anavutiwa na kasi ya mchezaji huyo na uwezo wake wa kuwaponyoka mabeki.
Sterling amekataa ombi la kitita cha pauni laki moja kutoka kwa Liverpool akisema kuwa anataka kuondoka na kuchezea klabu ambayo ina uwezo wa kushinda mataji.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here