
Waziri
Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akipokea fomu za wanachama 33,780 wa
CCM Mkoa wa Kilimanjaro, waliomdhani ili aweze kupata ridhaa ya Chama
chake katika kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa
kufanyika Oktoba 25, 2015. Anaekabidhi fomu hizo ni Katibu wa CCM
Wilaya ya Moshi Mjini, Loth Ole Nesele.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI

Mh. Lowassa akisomewa Dua na Sheikh wa mji wa Moshi mara baada ya kupewa udhamini wa Kishindo katika Safari yake ya Matumaini.
PICHA ZAIDI FATHER KIDEVU BLOG
No comments:
Post a Comment